• December 19, 2024

Fact checks 2020

UTATA WA UTUPAJI TAKA DIAMOND MUKURU KWA RUBEN.

Utupaji taka Maeneo ya Diamond kinyume cha sheria umekuwa ukifanyika maeneo hayo kwa muda sasa,Wakaazi wakisema tangu mwaka wa 2009 wamekuwa wakitupa taka maeneo hayo na kwa upande wo hawafahamu ikiwa kufanya hivyo ni ukiukaji wa sheria.

Afisa Mkuu wa Mazingira Embakasi kusini John Oleitiptip amesema kutupa taka maeneo hayo ni kinyume cha Sheria na wanaofanya hivyo watachukul;iwa hatua kali….#UTUPAJI TAKA Diamond#. Makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.