• December 19, 2024

Fact checks 2020

Who owns Power In Mukuru

Ni bayana kuwa sehemu tofauti hapa Mukuru huwa na watu tofauti wanaosambaza umeme na kwa njia tofauti zikiwa zile salama na zile sio halali.swali ni je kampuni ambayo imetwikwa jukumu la kusamba umeme uliosalama hapa nchini imezembea kwa kazi yake? Na je itawezekana wakaazi wote humu nchini kupata umeme ulio salama?Ledira Botere anatuelezea zaidi. Makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.