• December 19, 2024

Fact checks 2020

Gharama Ya Maji

Maji ni bidhaa muhimu katika maisha ya mwanadamu kila
uchao. Bila maji hakuna lolote ambalo linaweza afikiwa katika
uboreshaji wa maisha.Sehemu mbalimbali hapa Mukuru bidhaa
hii inagharamiwa na wakazi kwa kulipia kiwango Fulani cha
pesa. Mwanahabari wetu Martin Bunyali anatusaidia kubaini
kati ya mitaa ya mabanda nay a wastani ni wapi bidhaa hiyo
inamgharimu mkazi zaidi. Makala haya yameletwa kwako kwa
hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.