• December 19, 2024

Fact checks 2020

Matumizi Ya Barakoa

Tunaelewa kuwa njia moja ya kuthibiti msambao zaidi wa
virusi vya korona ni uvaaji wa barakoa. Itakuwaje kwa mtoto chini ya
miaka miwili,je,ni vizuri kumvalisha barakoa?Na iwapo hatavalishwa
barakoa,si yuko kwenye hatari zaidi ya kuambukizwa virusi hivi? makala haya yameandaliwa na Tabitha Njambi na kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm