• December 19, 2024

Fact checks 2020

CHAKULA CHA SERIKALI KWA WENYEJI WA MUKURU.

Mradi wa chakula kwa wenyeji wa mitaa duni hapa jijini Nairobi umekumbwa na hali ya sintofahamu
baada ya chakula kilichotolewa na Serikali kuu kupitia waziri wa Usalama wa ndani Daktari Fred
MatiangI kwa wakazi wa maeneo ya Mukuru kwa Njenga na Mukuru kwa Reuben kusemekana kutofikia kile kiwango cha tani kumi zinazodaiwa kutolewa na kuzinduliwa rasmi na maafisa wa serikali akiwemo waziri MatinagI katika Jumba la Mikutano ya kimataifa KICC mapema mwezi Mei. makala haya yameandaliwa na Dennis Beru na kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm