• December 19, 2024

Fact checks 2020

Kizungumkuti Cha Korona

Wakenya sasa wameongeza ununuzi wa ndimu na kitunguu swaumu kwenye bajeti ya kwao ya kila siku.
Wengine wanakimbilia watumishi makanisani nawengine madktari wa dawa za kienyeji yote haya
kutafuta kinga dhidi ya korona. Watafanikiwa kwa hili? Sikiliza Makala haya kutoka kwa mwanahabari
wetu shadrack Adenga yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm