FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
MAKALA YA UZANI NA ARVs
Kwa muda sasa kumekuwa na dhana ya kwamba dawa za
kupunguza makali ya ugonjwa wa Ukimwi mwilini husababisha
anayezitumia kuwa mnene au kuongeza uzani. Mwanahabari
wetu Moruri Denson amelivalia swala hilo njuga, hebu sikiliza
kwa makini ili ubaini iwapo dhana hiyo ni ya ukweli au la.