• December 19, 2024

Fact checks 2020

Je ARV Zinaweza Sababisha Kifo Cha

Ghafla?

Mengi yamesemwa kuhusu madawa ya kudhibiti makali ya virusi vya ukimwi, almaarufu kama Anti Retroviral Drugs ama ukipenda ARVs.
Swala ibuka tena lenye utata ni je? madawa haya yanaweza sababisha vifo vya ghafla?Pata ukweli hapa naye sahadrack adenga makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na RUBEN FM