• December 19, 2024

Fact checks 2020

Unyonyeshaji na Covid

Virusi vya Korona vimegeuka kuwa kizungumkuti kwa wengi wakaazi wa mitaa ya mabanda. Kuna dhana ya kwamba huenda virusi hivi vikawa kama vile vya ukimwi.

Virusi vya ukimwi vya weza pitishwa kutoka kwa mama hadi kwa mtoto kwa njia ya kunyonyesha, lakini je, virusi vya korona navyo?

Pata Uhondo hapa haswa unapozingatia jinsi utakavyo mlinda mtoto mdogo, yule kinda ambaye ana nyonya, kutokana na virusi vya korona.