• December 19, 2024

Fact checks 2020

Is Covid-19 Sexually Transmitted

Kumekuwa na dhana ya kwamba virusi vya korona huenda vikaambukizwa kwa njia ya kushiriki ngono.

Ni jambo ambalo limesababisha uwoga hadi kuvunja ama kusambaratisha ndoa na husiano za kimapenzi, lakini swala la utata ni je, virusi vya korona vyaweza ambukizwa kwa njia ya kushiriki ngono?

Pata ukweli wa mambo hapa tunapo dadavua swala hili pevu na kutupilia mbali dhana potovu, huku tukiweka ukweli kinaga ubaga.