• December 19, 2024

Fact checks 2020

TAKWIMU


Janga la virusi vya korona duniani limeonekana kuwaathiri wanaume kwa wingi ikilinganishwa na
wanawake. Taifa la Kenya halijasazwa kwani kulingana na takwimu zinazotolewa kila siku na wizara ya
afya nchini zinadhibitisha hilo. Mwanahabari wetu Jeremiah Mutua anaangazia vile takwimu hizi zinavyo
zidi kupanda tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa mwezi machi.