• December 19, 2024

Fact checks 2020

KASUMBA KWENYE KUZUNGUMZA KWA WATOTO

Ukuaji wa Lugha na kuzungumza ni hatua muhimu katika
maisha ya mtoto. Hata hivyo,hatua hii huja na imani na
kasumba mbalimbali hasa kuhusu kinachomfanya mtoto
achelewe kuongea ama aongee mapema. Ni kasumba gani
umesikia? Na madai hayo ni kweli? Mwanahabari wetu Tabitha
Njambi ameandaa Makala haya kwa hisani ya Code for Africa
kwa ushirikiano na Ruben FM.