• December 2, 2024

Fact checks 2020

Kazi Kwa Vijana

Mradi wa kazi kwa vijana ulianzishwa hapa mukuru kama mojawapo ya ajenda zake rais uhuru kenya.
Lakini je waliokusudiwa kupata hii kazi wataipata? Na je waliopatiwa jukumu la kuwasajili na kuwapa
kazi vijana hawa watafuatilia mikakati ifaayo? Mwanahabari wetu Joseph Musango anatusidia kujibu
maswali haya , Makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.