• December 19, 2024

Fact checks 2020

Kazi Mtaaani

Serikali ya Kenya imeweka juhudi si haba za kuwakinga wananchi wake dhidi ya athari za kiuchumi zinazoletwa na kuvurugwa kwa shuguli za kawaida za siku.Mradi wa Kazi Mtaani ulizinduliwa ili kuwakinga vijana na madhara haya.Lakini je,ni kweli kuwa serikali imewapa vijana kazi badala ya mashine? Mwanahabari wetu mpekuzi Muteti Jnr amelivalia njuga swala hili kwa ushirikiano wa Code For Africa na Ruben FM.