• December 20, 2024

Fact checks 2020

Mkurupuko wa ugonjwa wa Meningitis.


Kumekuwa na habari kwamba upo mlipuko wa ugonjwa
Meningitis miongoni mwa watoto wadogo. Ni hali ambayo
imewapa wasiwasi mkubwa baadhi ya wazazi huku ikikisiwa
kwamba kuna baadhi yao wameanza kutafuta chanjo kwa
wanao. Ili kubaini iwapo mlipuko huo upo au haupo,
mwanahabari wetu Moruri Denson alivalia njuga swala hilo na
hii hapa taarifa yake kwa ushirikiano wa Code For Africa na Ruben FM.