• December 19, 2024

Fact checks 2020

Cell phone Radiation and Cancer

Ni kweli kwamba Miyale ya tanuri ama ukipenda maikrowevu na ile ya simu ukiongezea vyombo vingine vya ki eletroniki, haviwezi sababisha saratani kama inavyo dhaniwa na wengi.Ili miyale hiyo ifikie viwango vya kusababisha saratani, basi ni miyale ya hali ya juu na wala sio miyale ambayo inapatikana katika vyombo vya ki eltroniki ambavyo hutumika nyumbani..pata mengi katika makala haya na Andenga wa odinga kwa hisani ya Code for Africa kwa ushirikiano na Ruben FM.