• December 30, 2024

Fact checks 2020

Utata Wa Chakula Cha Msaada

Ugavi wa chakula cha msaada kwa watu wasiojiweza hasa wakati huu mgumu wa korona katika eneo la mukuru kwa Reuben  limeonekana kuwa jambo la muhimu na wakaazi  wengi wamefurahishwa na kupata tabasamu . Aidha baadhi ya watu wengine wamechukulia hatua hii kama nafasi ya kuwalimbikizia sifa wanasiasa ambao hawajawajibika ipasavyo.Ledira Botere analivalia njuga swala hili na kutuweka wazi iwapo ni kweli. Makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.