• December 19, 2024

Fact checks 2020

Kasumba za Covid-19

Kasumba za Covid-19 zimekithiri si haba, wapo wanaosema, gonjwa hilo haliwezi wapata watu weusi, huku wengine wakisema gonjwa hilo ni porojo tu, isitoshe wapo wanaosema dawa za kulevya aina ya bangi ni dawa ya kutibu ugonjwa huo.

Yasikilize makala haya, uung’amue ukweli.

Shukrani za dhati kwa Code For Africa  na Ruben FM kwa kufanikisha makala haya.