• December 19, 2024

Fact checks 2020

Pombe na Msongo wa Mawazo(Stress)

Licha ya kuwepo kwa kampeni kadha zinazopinga matumizi ya pombe kwa kupita kiasi,
watu wengi wamezidi kubugia pombe kwa madai ya kuwa inapunguza mawazo.je ni kweli au la?

Ni wazi kwamba unywaji wa pombe haupunguzi hata kidogo mawazo ya mtu anapokuwa na
msongo wa mawazo.
makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya Code For Africa kwa ushirikiano na
Ruben fm, yakiandaliwa na robert ledira