• December 30, 2024

Fact checks 2020

Je Chumvi ni dawa ya Tumbo?

Maumivu ya tumbo na vidonda vya koo ni baadhi ya maumivu
ambayo hutokea katika mwili wa mwanadamu.

Tangu zama kumekuwepo na kasumba kwamba matibabu ya
kinyumbani ya magonjwa hayo hujumuisha kunywa maji ya
chumvi. Hali hiyo imeawafanya watu wengi kuiga mtindo huo
na kukosa kutafuta matibabu hospitalini.

Katika Makala haya yanayoletwa kwako kwa hisani ya Code For
Africa kwa ushirikiano na Ruben FM tunatafuta kubaini iwapo
maji ya chumvi hutibu magonjwa hayo…

Naitwa Martin Bunyali