• December 18, 2024

Fact checks 2020

Starehe Gharama

Asilimia kubwa ya Wanamichezo nchini Kenya, wale ambao wanatokea mashinani na mitaani, uraibu wao huwaponza katika maisha yao ya baadaye kitaaluma. Tabia za uraibu ambazo ni kawaida ya maisha zimegeuka kuwa jinamizi baadaye.Matumizi ya pufya ama doping kwa kimombo kwa sasa ni jambo ambalo limegeuka kuwa jinamizi ambalo linawa tafuna wanao nchini Kenya. Kwa wanamichezo wa mtaa wa mabanda wa mukuru, kaunti ya Nairobi, je, wanajua uvutaji bangi na utafunaji wa miraa ni ulaji muku katika michezo? Makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.Jina langu ni Shadrack Andenga.