• December 18, 2024

Fact checks 2020

Ugavi Wa Ardhi Mukuru

Kwa zaidi ya miaka 50 sasa wakazi wa Mukuru wamejua eneo la

Mukuru kama nyumbani licha ya kutokuwa na vyeti vya

kuthibitisha uhalali wao kwenye ardhi hii. Ni miongo mitano

sasa na baadhi yao wamezungumza na Moruri Denson na

kumuelezea masaibu yao. Makala haya yakiletwa kwako kwa hisani ya code for Africa kwa ushirikiano na ruben fm.