Wachezaji Wazalendo Katika Tasnia Ya Ubarakala

Wachezaji kandanda wengi nchini Kenya, taaluma zao zimeishia vijijini na mijini waliko anzia.
Si ajabu ya kwamba wengi wao, baada ya kustaafu ghafla wanaioshi maisha ya umasikini. Baadhi, walipokuwa wakicheza, ilikuwa ni hali tu ya uhalili ama ukipenda celebrities kwa kimombo.
Makala haya, yanaangazia chanzo cha kustaafu kwa mapema na  umasikini.
Kikubwa ni kwamba, mchezaji kandanda nchini anapo pata jeraha, ataanzia maisha wapi?
Skiza hapa…

BY Shadrack Adenga Odinga

Spread the love

3 thoughts on “Wachezaji Wazalendo Katika Tasnia Ya Ubarakala

  1. Ukweli kabisa, wachezaji wengi wanaacha kucheza sababu ya majeraha huku vilabu zao haziwashughulikii vilivyo waikato huo wakiwa na majeraha.

Leave a Reply

Your email address will not be published.