• September 23, 2026

Nguzo ya Stima Yaanguka Field Children, Wakazi Watoa Wito wa Hatua za Haraka

Wakaazi wa eneo la Field Children, mkabala na Ruben Center, wameingiwa na hofu baada ya nguzo ya stima kuanguka katika eneo hilo. Tukio hilo limeibua wasiwasi kuhusu usalama wa wananchi wanaopita karibu na eneo hilo, huku wakazi wakihofia uwezekano wa madhara iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa. Wakaazi sasa wanaitaka kampuni inayohusika kuchukua hatua za dharura kuondoa nguzo hiyo na kurejesha usalama katika eneo hilo ili kuwalinda wananchi.

Miriam Apiyo

Read Previous

Albert Ombati Moseremu Radio Interview

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular