1. Home
  2. Author Blogs

Author: Admin

Admin

General
Linguistics

Linguistics

In a globalized world, those who can communicate effectively in more than one language and across cultures, have a great advantage. For students, learning more than one language can enrich their academic and life experiences

NDOA NDOANA (utamu ndani ya uchungu)

Ya mgambo ikilia ina jambo basi sasa imeshalia na mdharau biu hubiuka mwenyewe. karibu katika makala ya NDOA NDOANA tukiangazia maisha ya ndoa , yaani utamu ndani ya uchungu. Sisemi kitu. Tukiyafungua macho na kutazama

DRAMA GALORE AS KPL TEAMS FAIL TO HONOR BETWAY SHIELD CUP ROUND OF 16 MATCHES

Betway Shield Cup round of 16 matches concluded on Sunday evening with unfolding drama among top tier teams and goals galore among the hopefuls.On Saturday, KCB FC did not honor their fixture against Wazito FC

CHOZI LA MTOTO WA KIUME

WHAT A MAN CAN DO, A WOMAN CAN DO BETTER! Ni msemo ambao haukuasisiwa Barani  Afrika lakini umekuwa chanzo cha mabadiliko si haba barani humu.                  Tangu jadi mtoto wa kike alichukuliwa kama chombo kilichopaswa

KALEKWA: FIFA IS A CHEAT, THEY HAVE ROBBED US OUR PLAYER

Sofapaka chairman Elly Kalekwa has voiced displeasure with FIFA, football’s world governing body after reports have emerged that striker John Avire made his debut for Tanta fc in Egypt on Wednesday. Speaking via social media

USALAMA WA WATOTO MTANDAONI.

  Teknolojia na matumizi ya mtandao nchini ya mekuwa kwa silimia kubwa huku watumizi wakiendele kuongezeka kila uchao. Kulingana na shirika la muungano wa kimataifa wa mawasiliano ITU, mwaka wa 2019 taifa hili liliandikisha idadi

Harambee Starlets kuwania ubingwa wa dimba la Turkish Women Cup.

Mabingwa wa soka ya wanawake ya Cecafa, Harambee Starlets wamepata mwaliko kuwania ubingwa wa dimba la Turkish Women Cup mnamo Machi 2-11, 2020. Dimba hilo litaleta pamoja Uturuki, Kenya, Hungary, Venezuela, Hong Kong, Romania, Uzbekistan,

 WORLD RADIO DAY 2020 (UMOJA WETU NGUVU YETU.)

Tangu jadi kabla ya wazinduzi wa teknoalojia hawajavumbua simu ilikuwepo radio. Kabla na baada ya kupata uhuru wakenya walitegemea sana radio kwa matangazo ili kuwakumbusha na kuwafahamisha kilichokuwa kikijiri. Kwa kifupi nitakuambia kwamba radio ni

NO MORE INTERNATIONAL EVENTS FOR KENYANS UNTIL FURTHER NOTICE.

The government of kenya through the ministry of Sports has suspended all international sporting events home and abroad until further notice. Speaking via a press release sent to media houses late Tuesday evening, principal secretary

RUBEN FM

Ruben FM is Mukuru’s First community radio station that aims to empower and unite Mukuru Community through our slogan “ UNGANISHA JAMII” .It broadcasts from Ruben Centre, a faith based organization in Mukuru Kwa Ruben.