• September 26, 2026

ERFA STORIES 2026

Forms of GBV

Je, mzazi, mlezi au mwanajamii una jukumu gani katika kuhakikisha watoto wanakuwa salama wanapoelekea shuleni, wakiwa shuleni na wanaporejea nyumbani? Katika makala ya leo, Moruri Denson amezungumza na Fred Otieno kuhusu hatua ambazo wazazi, walezi na jamii wanaweza kuchukua kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili na vitisho vya usalama katika safari yao ya kwenda na kutoka shuleni, pamoja na wakiwa nyumbani.

Na Moruri Denson