FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
Peace in Mukuru
Huku uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 ukikaribia, wananchi wamekumbushwa umuhimu wa kuchukua jukumu la kulinda amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Katika makala ya leo, Moruri Denson amezungumza na mabalozi wa amani katika eneo la Mukuru kuhusu nafasi ya kila mwanajamii katika kuhakikisha amani na utulivu vinadumishwa. Mazungumzo hayo pia yameangazia umuhimu wa wananchi kukataa uchochezi, kuheshimu tofauti za kisiasa na kushirikiana katika kujenga jamii yenye amani.
Na Moruri Denson