FALSE: Photo does not show the drought situation in Embolioi, Kajiado County, in October 2022
The role of the church:
Je, kanisa lina jukumu gani katika kukuza utawala bora, kujenga amani na kuimarisha uwajibikaji wa kijamii katika jamii? Kwa muda mrefu, baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamikia kile wanachokiona kama kutoshiriki kikamilifu kwa kanisa wakati jamii inapokabiliwa na changamoto mbalimbali. Katika makala ya leo, Moruri Denson amezungumza na mmoja wa wachungaji kutoka Mukuru kuhusu nafasi ya kanisa katika masuala ya kijamii, uwajibikaji na juhudi za pamoja za kujenga jamii yenye amani na maendeleo.
Na Moruri Denson